
Single Mtambalike
About
I'm a Bulls entertainment CEO...Actor/Director/Producer and Ameshawahi kupata tuzo kama Msanii bora wa kiume toka Mnet 2011-2012, na pia ashawahi kuwa finalist katika Tuzo za Egol za afrika kusini na kuwa mshindi wa pili, ni mwigizaji, mwandishi wa script, muongozaji na mtayarishaji wa Filamu, pia anajulikana kama mwanzilishi wa modern drama Tanzania.
This is a great space to write long text about your company and your services. You can use this space to go into a little more detail about your company. Talk about your team and what services you provide. Tell your visitors the story of how you came up with the idea for your business and what makes you different from your competitors. Make your company stand out and show your visitors who you are.
Pamoja na mambo yote haya yeye ndiye aliyewatoa kisanii waigizaji wakubwa na wanaotamba sasa kwenye tasnia ya bongo movies kama Jacob Steven (JB), haji Adamu, John kalage,Rose ndauka na Vicenti Kigosi (Ray). Ni baba wa watoto wawili na ashawahi kuzamia meli na kwenda msumbuji kutafuta maisha kabla ya kurudi nchini na kujikita kwenye sanaa za ya Uigizaji. Huyu si mwingine bali ni Single Mtambalike maarufu kama “Richie” kwa wapenzi wote wa Filamu nchini na duniani kote.
If you’d like to benefit from a professional designer’s touch, head to the Wix Arena and connect with one of our Wix Pro designers. Or if you need more help you can simply type your questions into the Support Forum and get instant answers. To keep up to date with everything Wix, including tips and things we think are cool, just head to the Wix Blog!
“Unlike all the other art forms, film is able to seize and render the passage of time, to stop it, almost to possess it in infinity. I’d say that film is the sculpting of time.”
– Andrei Tarkovsky